Mdee alaani vurugu alizofanyiwa Warioba
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limelaani vikali vurugu alizofanyiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, katika...
View ArticleRAIS PROFESA JAKAYA KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA NA KUWAHAMISHA VITUO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...
View ArticleTume ya Rwanda kuchunguza makala ya BBC
Serikali ya Rwanda imetangaza tume itakayotoa tathimini kuhusu shutuma na madai dhidi ya makala ya BBC iliyorushwa kwa njia ya Televisheni mwezi Oktoba, kuhusu mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994. Tume ya...
View ArticleSOMA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) MWAKA 2014 HAPA
ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU Chagua...
View ArticleNIHF KUFANYA KAMPENI YA SIKU 60 KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO WA...
Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo...
View ArticleViongozi Tanzania safi ICC-Membe
UMOJA wa Afrika (AU) unatarajia kukutana hivi karibuni kujadili hatua za kuchukua kutokana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kupandishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) hivi...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi wa...
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...
View ArticleIkulu yaguswa kwenye ujangili
Ikulu yaguswa kwenye ujangili MIEZI tisa tangu mwandishi wa Uingereza, Martin Fletcher wa gazeti la The Mail on Sunday, kuchapisha makala akidai Serikali ya Tanzania inabariki ujangili wa meno ya...
View ArticlePemba Island doesn’t belong to Kenya, says Membe
The government has rubbished claims that have been circulating in some media houses in neighbouring Kenya claiming that Pemba Island in Zanzibar belongs to that country. Minister for Foreign Affairs...
View Article