Quantcast
Channel: kifltd » BIASHARA
Viewing all 271 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete katika Sherehe za Kuapishwa Askofu Mkuu wa Anglikana Tanzania akutana na Skofu wa Cantebury

$
0
0

Gari la polisi lanaswa na bangi

$
0
0

 

 

 

kamandamwema 4e060

Gari aina ya Toyota Landcruiser linalotumiwa na Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Arusha, lilikamatwa juzi mjini Moshi likiwa limesheheni magunia 18 ya bangi.

Habari za awali zilieleza kuwa gari hilo lilikamatwa juzi saa 4:00 usiku katika Mji mdogo wa Himo, Moshi Vijijini likisafirisha bangi hiyo kwenda Tarakea, Rombo.

 

 

Polisi wawili akiwamo dereva wa gari hilo wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Himo na gari lipo Makao Makuu ya FFU, Moshi.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alithibitisha kukamatwa kwa askari hao: “Mchakato wa kuwafikisha mahakama ya kijeshi unaandaliwa. Bangi hiyo ilikuwa inapelekwa kwa mfanyabiashara mmoja huko Rombo na ndiye aliyewakodi.”

Hata hivyo, Kamanda Boaz alisema atatoa taarifa zaidi leo kwani uchunguzi bado unaendelea.

Bangi ilivyonaswa

Habari zimeeleza kuwa polisi waliokuwa doria waliliona gari hilo likitengenezwa na waliamua kuwauliza wenzao kulikoni? Wakajibiwa kuwa kuna kitu walikuwa wakirekebisha na lilikuwa ni tatizo dogo tu.

“Walipoulizwa kwani mnaelekea wapi wakasema wanapeleka mzigo wa bosi huko Tarakea mpakani na kwa taratibu zetu za kijeshi huwezi kuuliza ni bosi gani,” kilidokeza chanzo kimoja ndani ya polisi.

Hata hivyo, polisi hao wa doria walirudi katika gari yao ili waendelee na doria lakini baadhi ya polisi wakamweleza ofisa aliyekuwapo katika gari hilo kwamba wanashuku gari lile limebeba bangi.

“Lilikuwa na harufu kali ya bangi na hilo ndilo lililowafanya wale polisi kurudi tena kwa wenzao na kuwaambia wanataka waone wamebeba nini ndipo wakakutana na magunia 18 ya bangi,” kilieleza chanzo chetu.

Inadaiwa kuwa baada ya kukuta bangi hiyo, polisi hao waliwasiliana na Mkuu wa Upelelezi (RCO), Mkoa wa Kilimanjaro, Ramadhan Ng’anzi ambaye naye alimjulisha Kamanda Boaz.

Ilielezwa kuwa Kamanda Boaz aliagiza kuwekwa mahabusu kwa polisi hao katika Kituo cha Himo na gari hilo lipelekwe FFU, Moshi.

 


MAIMARTHA JESSE: SAFARI HII NATOA GARI KWA MWANAMKE KIGOLITZ 2013

MWANASPOT: SIMBA WACHARUKA, WATAKA YANGA IWALIPE SH 50 MILLIONI

MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA KUSHIRIKI KATIKA MISA YA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA.

$
0
0

 

 

 

Makaburi ya Igoma ambako ndugu zetu waliokuwa wakisafiri kwa meli ya MV Bukoba walizikwa.

 

Mwanamitindo, Flaviana Matata (wa pili kulia) akiomba dua katika kaburi la mama yake Mzazi maeneo ya Igoma mkoani Mwanza katika siku ya kukumbuka ajali ya MV Bukoba iliyoua watu takribani 1000 Mei 21, 1996.

 

Flaviana mbali na kukumbuka waliofariki katika ajali hiyo akiwamo mama yake mzazi pia alikabidhi msaada wa vifaa vya kuokolea maisha kwa Shirika la Kiserikali la Usafiri wa Maji Mwanza hapo mwaka jana.

 

Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata leo atashiriki katika misa maalum ya kuwakumbuka watanzania waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba mwaka 1996.

 

Misa hiyo itafanyika kwenye eneo la makabuli ya kumbukumbu ya MV Bukoba ambapo Flaviana alipoteza mama yake mzazi na kaka yake katika ajali hiyo.

 

Mwaka jana, mwanamitindo huyu kupitia shirika lake la Flaviana Matata Foundation alitoa msaada wa maboya yaani vyombo vya kuokoa maisha majini (life vests) 500 kwa mawakala wa meli ya serikali yaani Marine Services Ltd ikiwa ni nja moja ya kujaribu kusaidia usalama majini. 

 

Mkurugenzi wa kampuni ya Compass Communications, Maria Sarungi alisema kuwa mbali ya kushiriki katika misa hiyo, pia mwana mitindo huyo atafanya mazungumzo na wadau mbali mbali jinsi ya kuendeleza juhudi za kuimarisha usalama majini.

 

Flaviana alisema kuwa juhudi zake kubwa kwa hivi sasa ni kuhakikisha kuwa ajali za vyombo vya kwenye maji zinaepukika na ndiyo maana anapigana huku na kule katika sakata hilo.

 

Alisema kuwa lengo lake kubwa ni kuona vyombo vya kuokolea katika kila meli vinapatikana na hasa kwa kutafuta misaada kwa wadau mbali mbali.

 

“Suala la usalama majini bado haujatiliwa mkazo vya kutosha na jamii pamoja na serikali” alieleza mwanamitindo huyu. “Muda umefika kwa wahusika wote kushirikiana kwa pamoja kuzungumzia na kukabiliana na changamoto hii” alisema Matata.

HEBU CHEKI JINSI MHE.TUNDU LISSU NA ANNE KILANGO VIDOLE NA MACHO YAO..!

$
0
0

 

 

 

Baada ya Bunge kuahirishwa jana, nje ya ukumbi hali haikuwa nzuri baina ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.
Mtafaruku huo uliibuka baada ya Kilango kusikika akimtuhumu Lissu kwa uchochezi, akisema kwamba amekuwa mbunge pekee anayeongoza kwa vurugu.
  
Maneno hayo hayakumfurahisha Lissu ambaye alishindwa kuvumilia na kumgeukia Kilango kwa nguvu huku baadhi ya wabunge wakishuhudia na wengine wakimzuia Lissu.Chanzo:differentsource.com

 


Tanzania to host Smart Partnership dialogue forum next June

$
0
0

 

 

 

The Global Smart Partnership Dialogue in the country will send out a clear message to all the technologically advanced countries that, Tanzania has geared itself towards the dialogue on technology.

 

 

 

Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Hon Bernard Membe

 

Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Hon Bernard Membe

 

 

 

Speaking in Dar es Salaam Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Mr Bernard Membe said that the meeting is expected to bring changes in the country in socio-economic status throughout the world.

 

 

 

Mr Membe noted that Smart Partnership meeting is a forum for developing countries which will be deliberate on science and technology for economic development of the countries. Mr Membe said the meeting will be held in Dar es Salaam between June 28th and 1st July this year.

 

 

 

“Technology is a crucial catalyst for developing nations’ development in this world,” he said. He noted that Tanzania will be the hosts of Smart Partnership scheduled to be held in Dar es Salaam and to be attended by 500 delegates including five presidents from East African states.

 

 

 

The Global Smart Partnership Dialogue which will be held in Tanzania, amongst other things, would get feedback from the last dialogue that was held in Putrajaya, Malaysia in June last year.

 

 

 

Other African countries that have hosted the Smart Partnership Dialogues include Botswana, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Mozambique, Swaziland, Lesotho and Uganda. Other countries include Barbados, and Malaysia.

 

 

 


RAIA MWEMA:LOWASSA KITANZINI TENA , RAIS KIKWETE NAYE APIGWA DONGO KIKAONI


BABA YAKE DULLY SYKES ANASWA AKIVUTA BANGI KIJIWENI…!

$
0
0

 

 

   Baba mzazi wa mwanamuziki wa bongo flava nchini Dully Sykes, Mzee Sykes pichani kama inavyoonekana akiwa na madawa haram ya kulevya aina ya bangi mkononi huku mbegu mbegu zikiwa zimedondoka chini.—–  

Baba mzazi wa mwanamuziki nyota wa bongo flava nchini Dully Sykes , Mzee Sykes hivi karibuni alinaswa  akichambua bangi mikononi mwake kwa ajili ya kuivuta.

Tukio hilo la aina yake lilitokea  nyumbani kwa msanii aliyefahamika kwa jina la Shebo, na kushuhudiwa na mwandishii wetu ambae alifanikiwa kumpiga picha mzee huyo akiwa na bangi mkononi mwake.

Mzee huyo akiwa hana shaka yoyote alionekana  akichambua bangi hiyo huku mbegu zake zikidondoka chini kama mchele ( picha ya juu)

Hata hivyo mzee huyo alishindwa kuendelea na zoezi la kuitayarisha bangi hiyo kutokana na kumtilia wasi wasi mwandishi wetu akidhani ni afande!Chanzo:mpekuziblog


MISS KURASINI WAENDELEA NA MAZOEZI YAO KABAMBE

$
0
0

 

 

Miss 1Baadhi ya wanyange wanaowania taji la Redd’s Miss Kurasini 2013 wakiwa wakijifua kwa kucheza wimbo wa ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill wakijifua kwa shindano lao linalotaraji kufanyika katika ukumbi huo kesho. (Picha na Mpigapicha wetu). MissWashiriki wa Redd’s Miss Kurasini 2013, wakimsikiliza mwalimu wao Kudra Lupatu wakati warembo hao wakiendelea na mazoezi katika kambi yao iliyopo Equator Grill jijini Dar es Salaam jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani kesho katika ukumbi huo. (Picha na Mpigapicha wetu).


A POWERHOUSE OF AFRICAN ARTISTS TO PERFORM AT BIG BROTHER AFRICA’S LAUNCH SHOW..!

$
0
0

 

 

 

images

 

 

On Sunday 26 May, the Big Brother launch show will come alive when multiple award winning musicians from Nigeria, Kenya and South Africa take centre stage. The big night will also see 28 new housemates being revealed to audiences in over 50 African countries for season 8 of Big Brother Africa, The Chase.

 

With the live show screening from 19:00 CAT on AfricaMagic, AfricaMagic Entertainment, AfricaMagic World as well as on DStv channel 197 and 198. Audiences can look forward to sassy and upbeat tunes from Kenya’s very own award winner, STL. Boasting hit songs such as “Take My Time” , “Hula Hoop“, “Bad as I Wanna Be“, the singer, songwriter and rapper, also recipient of awards from the Kisima Awards, Clops Awards and Jeermaan Awards, promises to deliver an unforgettable and lasting performance with her distinct pop, soul and rap sound.

 

Hailing from Nigeria, musical heavy weights Don Jazzy, D’ Prince and Wande Coal are also set to grab audiences with their energetic and charming personas. Multi award-winning record producer, singer-songwriter and musician Don Jazzy, will join stars in their own right, D’ Prince and Wande Coal on stage for their collaborative performance. These chart topping hit makers from Mavin Records are also best known for songs such as “I like What I See”, “Bumper 2 Bumper” and “Who Born the Maga”. The continent can expect a sensational performance that will ignite the Big Brother live show stage.

 

Last but not least, one of South Africa’s leading Afro Pop music groups, Mafikizolo will also serenade audiences with their soulful and rhythmic tunes on the big launch night. With several albums and awards under their belt, the duo has brought fans far and wide, dance-floor filler hits such as ”Sibongile”, “Ndihamba Nawe”, “Nisixoshelani” and most recently “Khona”. Their performance on the Big Brother stage is sure to evoke dance moves, reminding audiences why the chart topping group remains pioneers in their field with musical experience spanning over 15 years.

 

The line-up will also include a slot for some comic relief from Kenyan stand-up comedian Daniel Ndambuki, popularly known as Churchill. The highly talented entertainer has also become a household name with his TV show called “Churchill Live”.

 

In Addition to the live screening of the launch show, the good news is that the show will also concurrently be streamed live to audiences across Africa on the Big Brother website, www.bigbrotherafrica.com.                               All you need to access the live stream is a personal computer and internet connection.

With less than a week to go, be sure not to miss the jam packed, highly anticipated Brother Africa The Chase live launch show. Thereafter Africa’s biggest reality series will be screened live for 91 days, 24/7 on DStv channels 197 and 198 while GOtv audiences will be able to see highlights on AfricaMagic World.


BUNGENI :SERIKALI KUENDELEA NA MPANGO WA KUJENGA BOMBA LA GESI KUTOKA MTWARA-LINDI MPAKA DAR ES SALAAM

$
0
0

 

 

IMG_1979Na Lydia Churi, MAELEZO-DODOMA

 

Serikali itaendelea na mpango wake wa kusafirisha gesi asilia kutoka mkoani Mtwara, Lindi hadi Dar es Salaam. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo ameliambia bunge leo mjini Dodoma alipokuwa akiwasilisha bajeti ya wizara yake ya mwaka wa fedha 2013/2014.

 

Alisema mradi wa kusafirisha gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es salaam utahusisha  ujenzi wa bomba  lenye urefu wa kilometa 532 ambapo bomba hilo litakuwa na uwezo wa kusafirirsha futi za ujazo za gesi asilia milioni 784 kwa siku.

 

 

Alisema mradi huo utaigharimu Serikali shilingi bilioni 1,960 ambapo kazi za usanifu wa mradi na ulipaji wa fidia kwa wananchi wapatao 3,092 waliopisha maeneo ya mradi zimekamilika. Hatua za awali za ujenzi wa mitambo ya kusafisha gesi asilia zimeanza.

 

 

Waziri Muhongo alisema kutokana na mradi wa gesi asilia wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara watapata manufaa mbalimbali yatokanayo na mradi huo ikiwa ni pamoja na tozo ya asilimia 0.3 ya mauzo ya gesi asilia, huduma za jamii kama vile zahanati, shule, umeme, maji  na mafunzo katika vyuo vya ufundi (VETA) na sekondari.

 

 

Wakati huo huo, Serikali imefanikiwa kukamata madini yenye thamani ya shilingi bilioni 13.12 kati ya mwezi Oktoba 2012 na April 2013 yaliyokuwa yakisafirishwa nje ya nchi kinyume na sheria.

 

 

Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo ameliambia bunge leo mjini Dodoma kuwa wahusika wameshachukuliwa hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria ya Madini ya mwaka 2010.

 

 

Alisema katika kuimarisha usimamizi wa biashara ya madini nchini, Serikali kupitia wakala wa madini (TMAA) imeanzisha madawati maalum ya kukagua madini yanayosafirishwa nje ya nchi kupitia viwanja vya ndege vya kimataifa vya Dar es salaam, Kilimanjaro na Mwanza.

 

 

 Wizara ya Nishati na Madini imeomba kuidhinishiwa na Bunge zaidi ya shilingi trilioni moja ambapo asilimia 90 ya fedha hizo ni kwa ajili ya maendeleo na asilimia 10 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Aidha Fedha za ndani ni asilimia 56.27 na za nje ni asilimia 43.73.


NIKKI MBISHI: NAKUJA KWENU NA “MSULI TEMBO MATOKEO SUNGURA”

$
0
0
 
Nikki Mbishi soon, kuachia wimbo ambao hautakuwepo kwenye media yoyote ile bali kwenye simu na computer za mashabiki wake.Nikki kupitia ukurasa wake wa facebook amesema, mtu kuipata single hiyo inabidi achangie shilingi 1000, na atapokea oda kupitia comments za ukurasa wake ambapo zoezi hilo anategemea kulianza siku ya jumatatu.
Wimbo huo ambao amaupa jina la “Msuli Tembo Matokea Sungura” unalenga kuwapa moyo watu wote wanaotumia nguvu, akili na jitihada kwa kiasi kikubwa lakini wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichokiwekeza
 
Kuna track yangu mpya mahususi kwa mashabiki tu wala sitaitoa kwenye media inaitwa “MSULI TEMBO MATOKEO SUNGURA” ikilenga kuwapa moyo watu wote wanaotumia nguvu,akili na jitihada kwa kiasi kikubwa lakini wanachokipata ni kidogo kulinganisha na walichowekeza,k ama wewe ni mmoja wa watakao niunga mkono kwa kuchangia Tsh 1000 ili uipate unaweza kupost comment yako na zoezi litaanza Jumatatu!#Asant eni.Chanzo:Dj Fettyblog

AFRIKA SOKA: DAU LA NGASSA YANGA SC KUFURU, AMETUA JANGWANI KWA MILIONI 170/-

Neno La Leo: Mtwara Tunagombania Kivuli..

$
0
0
 

 

4 52b5c

 

Ndugu zangu,

 

Mwanafalsafa Jean- Paul Sartre anasema; “ Hell is the other people” – Kwamba  jehanam ni wale wengine, anataka pia  tukubaliane, kuwa pepo yaweza kuwa ni wale wengine.

 

Na hakika, tofauti ya mwanadamu na mnyama iko kwenye kufiri. Mnyama anaongozwa na hisia, lakini mwanadamu anapaswa aongozwe na kufikiri. Ndio maana ng’ombe anaweza kumpanda mama yake. Ni hisia tu zitakazoongoza tendo lake.

 

Hivyo, mwanadamu kwenye mambo ya msingi hapaswi kabisa kuongozwa na hisia ikiwamo ushabiki. Anapaswa kfikiri.

 

Vinginevyo, ni ukweli, kuwa kijamii, mwanadamu anaweza kuwa kiumbe anayeishi kwenye mahusiano ya kirafiki na kiadui na wenzake. Na katika hilo la uadui, wanadamu, kama ilivyo kwa wanyama, wanaweza kushindania na hata kugombania vingi; iwe fedha, mashamba, wanawake na hata kivuli cha mti.

 

Ndio, unaweza kabisa kuwakuta wanadamu wawili wanagombania kivuli cha mti, kwamba nani mwenye haki ya kukaa kivulini. Na wanaweza kugombana mpaka akatokea mwendawazimu atakayekuja kuukata na huo mti wenyewe. Na wanadamu hao watabaki wakitazama  juani.

 

Hoja yangu hapa, kuwa lililo la msingi ni kuwa wanadamu tunategemeana.  Kwamba panapo kushindania jambo, mwanadamu, tofauti na mnyama, anapaswa kufikiri sana. Atangulize kwanza hekima na busara.

 

Na kwenye mgogoro wowote ule, mwanadamu ayape mazungumzo nafasi ya pekee katika kufikia muafaka, na si vurugu au mapigano.  Kwenye mgogoro, na kwenye kuitafuta amani,  panakosekana mazungumzo ina maana ya uwepo wa mazingira ya kuvunjika kwa amani. Hapa Serikali inapaswa iandae haraka  mazingira ya  mazungumzo katika kuitafuta suluhu.

 

 Ndugu zangu,

 

Nikiwa shuleni miaka ile ya 80 pale aliyekuwa Waziri Mkuu, Dr. Salim Ahmed Salim alipotembelea Mtwara na kukutana na umasikini uliomstusha sana. Kule Mtwara Dr. Salim alikutana na Watanzania waliovaa magunia na miguuni hawana hata kandambili. Na kwenye jua kali walijipanga kando ya barabara kumpokea. Kwenye jua kali walikusanyika kumsikiliza Waziri Mkuu wao.

 

Ni kule Mtwara inasemekana Dr. Salim, kwa mara ya kwanza,  alipofikia maamuzi ya kutoa ruhusa ya mitumba kuingizwa nchini. Maana, kulikuwa na Watanzania wengine wengi nje ya Mtwara waliokuwa kwenye hali ya umasikini wa kufikia kuvaa nguo za viraka na kushindwa hata kuvaa viatu vya matairi  ya magari. Tunajifunza nini?

 

Kwamba ni kweli Mtwara na sehemu nyingine za nchi zimekuwa nyuma sana kimaendeleo. Na leo tunaposikia Mtwara kuna gesi, nakubaliana na Rais Jakaya Kikwete, kuwa gesi hiyo haiwezi kuwa ni ya WanaMtwara tu. Ni gesi ya Watanzania wote.

 

Ni vema na ni busara, na kwa kuwashirikisha wazee wa Mtwara, kuwa WanaMtwara wakasikilizwa. Kuna ya msingi ambayo WanaMtwara na Serikali wanaweza kukubaliana kwenye meza ya mazungumzo.

 

Hata kama tunakubaliana, kuwa rasilimali za nchi ziwasaidie pia watu wa eneo inakotoka rasilimali hiyo, lakini kamwe, tusikubaliane na hoja kuwa gesi  iliyo Mtwara ni ya WanaMtwara. Kwamba dhahabu ya Geita ni ya watu wa Geita, twiga wa Ruaha ni wa Wahehe na kadhalika. Haya si mawazo mazuri kuyapandikiza katika nchi.

 

Ni mawazo ya hatari yanayoweza kupandikiza chuki, sit u miongoni mwa wananchi na Serikali, bali hata miongoni mwa wananchi wenyewe wa maeneo tofauti. Ni mawazo yenye kupandikiza pia fikra za kibaguzi.

 

Na tufikiri hili, je, kama gesi  ile iliyopatikana kule  Mtwara, Tanzania na  Msumbiji nayo ingesema ni ya kwake, WanaMtwara  wangesemaje kama watu wa mikoa mingine ya nchi hii nao wangesema wapelekwe wanajeshi wa Kimakonde, Kiyao na Kimakua tu wakambapane na majeshi ya  Msumbiji kutetea ‘ Gesi ya Mtwara!’?

 

 Naam, ya kule Mtwara isije ikawa yale yale ya kugombania kivuli.

 

 Maggid Mjengwa,

 

Iringa,

 

0754 678 252



Makampuni ya Chilly Willy, Dodoma Wine, CXC Africa yajitosa kudhamini Redds Miss Sinza 2013

$
0
0

 

imagesNa Mwandishi Wetu
WAKATI jumla ya warembo 13 wamejitokeza kuwania taji la Redds Mid Sinza 2013 iliyopangwa kufanyika Juni 7, kwenye ukumbi wa Meeda Club, kampuni ya Tanzania Distillers Limited (TDL),  kinywaji cha Chilly Willy na kampuni ya  CXC Africa zimejitokeza kudhamini mashindano ya Redds Miss Sinza 2013 yaliyopangwa kufanyika kwenye ukumbi w Meeda Club Juni 7.
Mratibu wa mashindano hayo, Majuto Omary alisema jana kuwa TDL imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Dodoma Wine ambao pia mwaka jana walidhamini mashindano hayo.
Majuto alisema kuwa wamepata faraja kubwa mwaka huu baada ya idadi ya warembo kuongezeka sambamba na wadhamini. Wadhamini wengine ni kampuni ya TBL kupitia Redds Original, Clouds FM, Fredito Entertainment,  Sufiani Mafoto Blog na Saluti5.
Alisema kuwa warembo wameitikia wito katika mashindano hayo kwani wanataka kutwaa taji la Miss Redds Miss Tanzania ambalo Sinza ni watetezi kupitia mrembo wake Brigitte Alfred.
“Bado tunahitaji warembo zaidi ili kupamba shoo yetu ambayo ni ya mwisho kwa kanda ya Kinondoni. Pia tunawaomba wadhamini wengine kujitokeza kwani Miss Sinza 2013 ni zaidi ya promosheni na burudani,” alisema Majuto.
Mpaka sasa warembo 13 wamejitokeza katika mashindano hayo na wapo mazoezini chini ya Miss Tanzania Top Model, Mwajabu Juma.

Rais Kikwete amwapisha Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria na Mabalozi Wapya wanne

$
0
0

 

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ikulu jijini Dar es Salaam amemwapisha Jaji  Aloycius Mujuluzi kuwa Mwenyekiti wa  tume ya kurekebisha sheria pamoja na mabalozi wanne watakaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi.Mabalozi walioapishwa leo ni pamoja na Balozi mpya katika umoja wa Falme za kiarabu(UAE) Mbarouk Nassor Mbarouk,Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Wilson Masilingi,Balozi mpya wa Tanzania katika visiwa vya Commoro Chabaka Kilumanga na Mwakilishi wa  kudumu Tanzania Umoja wa mataifa Geneva Balozi Modest Jonathan Mero.

 

 

8E9U8078Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal  na Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya waliopaishwa leo ikulu jijini Dar es Salaam.aliyesimama mbele kushoto no Balozi Liberata Mulamula anayekuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Marekani.Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Balozi mpya wa Tanzania Uholanzi Wilson Masilingi,Balozi mpya wa Tanzania katika visiwa vya Commoro Chabaka Kilumanga,Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva Balozi Modest jonathan Mero na Balozi mpya wa Tanzania katika falme za Kiarabu(UAE)Mbarouk Nassor Mbarouk.Kabla ya uteuzi Balozi Liberata Mulamula alikuwa msaidi wa Rais Masuala ya kidiplomasia na aliwahi kuwa katibu mkuu wa nchi za  Maziwa Makuu.(picha na Freddy Maro) Balozi Kilumanga-Commoro Akiapa Balozi Masilingi-Uholanzi akiapaBalozi Masilingi-Uholanzi akiapa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (UAE) akiapaBalozi Mbarouk Nassor Mbarouk (UAE) akiapa Balozi Mero-Geneva akiapaBalozi Mero-Geneva akiapaJaji Aloycius Mujuluzi akiapaJaji Aloycius Mujuluzi akiapa


Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Apendekeza kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutangaza Novemba 30 kuwa siku ya mapumziko kwa nchi zote za jumuiya hiyo ili kuongeza uelewa wa wananchi wake juu ya masuala ya mtangamano.

$
0
0
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu cha ripoti ya utafiti juu ya ushirikishwaji wa raia katika mchakato wa uanzishwaji wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika jan a jijini Dar es Salaam. Pamoja nae ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Dira ya Afrika Mashariki (VEAF),  ambao ndio waliofanya utafiti huo,Dr. Azaveli Lwaitama.
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizindua kitabu cha ripoti ya utafiti juu ya ushirikishwaji wa raia katika mchakato wa uanzishwaji wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC). Pamoja nae ni Katibu Mkuu wa zamani wa EAC, Balozi Dk. Juma Mwapachu (kulia) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Dira ya Afrika Mashariki (VEAF),  ambao ndio waliofanya utafiti huo,Dr. Azaveli Lwaitama.
 Mgeni rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (walioketi katikati) akiwa pamoja na washiri wa Kongamano hilo.


Na Mtuwa Salira wa EANA

Rais wa zamani wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amependekeza kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutangaza Novemba 30 kuwa siku ya mapumziko kwa nchi zote za jumuiya hiyo ili kuongeza uelewa wa wananchi wake juu ya masuala ya mtangamano.
 
Novemba 30, 1993 ilikuwa ndiyo siku ambapo Kamisheni ya Utatu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ilizinduliwa na hatimaye kuzaliwa upya kwa jumuiya hiyo iliyokufa mwaka 1977. Hivi sasa tarehe hiyo inaadhimishwa kama Siku ya EAC lakini siyo siku ya mapumziko katika nchi wananchama.
 
Mwinyi alitoa mapendekezo hayo Jumatano jijini Dar es Salaam alipozindua ripoti ya  utafiti wa kwanza wa Afrika Mashariki juu ya ushiriki wa raia katika mchakato wa ushirikiano wa EAC, uliyofanywa na Jukwaa la Dira ya Afrika Mashariki (VEAF) ambayo imebaini kwamba upo ushiki hafifu wa raia katika mwenendo mzima wa mchakato huo.
 
”Nitakuwa na furaha zaidi kutoa mchango wangu wa kuwashawishi marais waliopo sasa ili kutangaza Novemba 30, 1993, siku ambayo Tume ya Utatu ya Afrika Mashariki ilipozinduliwa mjini Arusha, marehemu Mwalimu Nyerere akiwepo, kuwa Siku ya Afrika Mashariki,” alisema Mwinyi ambaye wakati huo alikuwa Rais wa Tanzania.
 
Alisema, siku kama hiyo wananchi pamoja na mambo mengine wanaweza kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na maonyesho ya utamaduni na bidhaa za kilimo na viwanda katika majiji yote na mipakani, ambapo alisema, mwisho wa siku vitaongeza uelewa wa wananchi juu ya jumuiya yao ya Afrikia Mashariki. 
 
Sehemu ya ripoti hiyo ilisema ingawa kuanzsihwa upya kwa jumuiya hiyo kulilenga iwe na misingi yake kwa wananchi.

HEBU CHEKI PICHA 6 SPORAH AKIFANYIWA INTERVIEW NA MILLARD AYO,KIPINDI AMPLIFAYA CHA CLOUDS FM….

$
0
0

 

 

 


Mtupiye macho Wolper Gamba aka Jack akiwa katika pozi usiku huu ..!

$
0
0


Wolper Gambe katika pozi

“Silewi na si mpenzi wa vileo lakini napenda muziki sana jina langu limetokana na muziki ambao naupenda sana ndio maana kwa sasa najiita Wolper Gambe ukiniita Wolper Gambe umefurahisha nafsi yangu kiukweli, watu wajua eti Gambe ni pombe hapana hizo ni swaga tu za sisi vijana, kitu kingine ninachopenda ni kumiliki gari nzuri,”anasema Wolper.

Aidha mwigizaji huyo alivyoulizwa kuhusu gharama ya gari yake mpya ya Mini Cooper alisema kuwa gari yake ni gharama kubwa lakini si rahisi kuitaja hadharani wakati kuna watu wana shida hawawezi hata kumiliki fedha ya kununulia chakula kidogo tu, msanii huyo ndio mwanamke pekee ambaye amekuwa akimiliki magari ya thamani kwa nyakati tofauti tofauti.Chanzo:Mussa Matejablog


Viewing all 271 articles
Browse latest View live